Programu Bora ya Biashara Tanzania

Simamia Duka Lako
kwa Urahisi Zaidi

Stoki, mauzo, wateja, na matumizi yako — yote mahali pamoja. Jaribu bure kwa siku 7, bila kadi.

Udhibiti wa Stoki

Bidhaa, upunge wa stoki, na arifa za kujaza moja kwa moja

Ripoti za Mauzo

Faida, mapato, na mwenendo kwa kila siku, wiki, au mwezi

Usimamizi wa Wateja

Madeni, vikumbusho vya SMS, na historia ya manunuzi

Arifa za SMS

Tuma ujumbe wa madeni, ofa, na ripoti kwa wateja wako

Maduka Mengi

Simamia maduka yako mengi na wafanyakazi kwa ruhusa tofauti

Arifa za Kujaza

Taarifa za simu wakati bidhaa inakaribia kuisha stoki

Bei za Usajili
Salio la SMS Tu
10 TZS/SMS
ununua unavyotaka
  • Ingiza kiasi unachotaka
  • Hakuna minimum
  • Zinongezwa mara baada ya uthibitisho
  • Tumia kutuma madeni, ofa, ripoti

Hesabu SMS Utakazopata

0
SMS utakazopata
Bei: TZS/SMS
Ingiza kiasi cha TZS ili kuona idadi ya SMS utakazopata.